Hapa nilikuwa nimekwenda dukani kwake kumsupport kwa kununua a few stuff kwani ndo alikuwa kafungua duka lake maeneo ya msasani....
HEY GUYS,
KAMA MLIVYO NISUPPORT EARLIER THIS YR WAKATI NAFANYA ILE EVENT YA KURASINI. TAFADHALI NAOMBA MNISUPPORT KWA HILI PIA....
KAMA MMESIKIA RAY C AMEADHIRIKA VIBAYA SANA NA UNGA.
MAMA YAKE MZAZI ALITOKEA KWENYE TV LAST WEEK AKIOMBA WATU WAMCHANGIE MWANAE ILI AWEZE KUMTIBU.
YANI NIMEONA A FEW PHOTOS MACHOZI YAMENITOKA. WE NEED TO HELP...
MAMA YAKE ALISEMA ZINAHITAJIKA KAMA 28 MIL KUMPELEKA REHAB NAOMBA SISI KAMA SISI TUCHANGIE KWA CHOCHOTE KILE KIDOGO TULICHONACHO....
TAFADHALI NAOMBA MTOE IDEA ON HOW THE MONEY SHOULD BE COLLECTED HUKO HUKO DAR??? NISINGETAKA PESA ZIPITIE MIKONONI MWANGU AT ALL , KWANZA NIPO MBALI SANA.
NAOMBA TUKUBALIANE PESA ZIWE HANDLED VIPI NA TUKISHAKAMILISHA MAMA YAKE RAY C ATAKABIDHIWA.
LEO KWAKE KESHO KWETU.
BEING A MOTHER MYSELF MY HEART GOES OUT TO RAY C'S MOM WHO RAISE SUCH A BEAUTIFUL TALENTED YOUNG WOMAN.
SOME PEOPLE WANAONGEA UJINGA SANA ETI ALIBWIA MWENYEWE UNGA SO SHE DOESNT DESERVE TO GET HELP.
EVERYONE DESERVES A SECOND CHANCE, RAY C ANGEKUWA NI MWANAO WA KUMZAA JE UNGEYASEMA HAYO???
NA PIA ANAWEZA KUFA HUYU , JE AKISHAKUFA NDO TUANZE KULIA KWA UNAFKI WAKATI TULIKUWA NA UWEZO WA KUMSAIDIA
BALI TUKAPUUZIA????
KWA WAUZA UNGA MTAISHI MAISHA YA KITAJIRI KWA KUHARIBU NA KUUA WATOTO WA WATU MPAKA LINI???? HOW DO YOU SLEEP AT NIGHT KNOWING HILO JUMBA UNALOLO LALA, MAGARI YA KIFAHARI UNAYOENDESHA
YOTE HIYO IMETOKANA NA KUHARIBU WATU KAMA KINA RAY C????
KAMA UNA SWALI AU LOLOTE LA KUNIAMBIA KUHUSU HILI PLEASE EMAIL ME ,
This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it
BELOW RAY C A.K.A KIUNO BILA MFUPA WHEN SHE WAS RUNNING BONGO MUSIC.......
NA KWA WALE AMBAO MMESHANUNUA, PLEASE NITUMIE EMAIL JUST TO DOUBLE CHECK SITAKI MTU AKOSE KITU CHAKE THIS TIME.
This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it
or
This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it
+1 954 591 2542 ,PLEASE DON'T CALL JUST SEND A WHATSAPP MESSAGE
sasa naomba wale ambao last time mlitoa order na mkalipa na nguo hazikuja, please nitumieni email ya kunikumbusha tu ili ni double check nimake sure nguo zenu zimo...
Nawapendaje sasa?
This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it
au
This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it